kutokana na kudorora kwa mchezo wa basketball znz veteran znz kwa kushirikiana na TANZANIA YOUTH ICON ( TAYI ) imekusudia kuandaa mashindano ya basketball kwa vijana wa umbri wa miaka 10/15 na 15/20 kwa mwezi wa disembar tunawaomba watu wote watusaport kwa hali na mali.
seletochiy
